1 Nyakati 1:47
Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Hadad was dead, Samlah of Masrekah reigned in his stead.
In Context
48Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 2