1 Nyakati 1:48
Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati, akawa mfalme baada yake. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Samlah was dead, Shaul of Rehoboth by the river reigned in his stead.
In Context
47Hadadi alipofariki, Samla kutoka Masreka akawa mfalme baada yake. 2
49Shauli alipofariki, Baal-Hanani mwana wa Akbori akawa mfalme baada yake. 2
Cross References
Genesis 36:37Samla alipofariki, Shauli kutoka Rehobothi ngʼambo ya Mto Frati akawa mfalme baada yake. 1