1 Nyakati 11:16
Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And David was then in the hold, and the Philistines’ garrison was then at Bethlehem.
In Context
Cross References
1 Samuel 13:4Hivyo Israeli wote wakasikia habari kwamba: “Sauli ameshambulia ngome ya Wafilisti, nao sasa Israeli wamekuwa harufu mbaya kwa Wafilisti.” Basi watu waliitwa kuungana na Sauli huko Gilgali.
1 Samuel 22:1Daudi akaondoka Gathi na kukimbilia kwenye pango la Adulamu. Ndugu zake na watu wa nyumba ya baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko.
1 Samuel 22:5Ndipo nabii Gadi akamwambia Daudi, “Usikae ngomeni. Nenda katika nchi ya Yuda.” Hivyo Daudi akaondoka na kwenda katika msitu wa Herethi. 1 Sauli Awaua Makuhani Wa Nobu
Psalms 142:1Namlilia Bwana kwa sauti, 2 nainua sauti yangu kwa Bwana anihurumie. 1