1 Nyakati 11:15
Wakuu watatu miongoni mwa wale thelathini, walimwendea Daudi katika mwamba huko kwenye pango la Adulamu, wakati kikundi cha Wafilisti kilikuwa kimepiga kambi katika Bonde la Warefai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
16Wakati huo Daudi alikuwa katika ngome, na kambi ya Wafilisti ilikuwa huko Bethlehemu.
Cross References
Joshua 15:8Kisha ukapanda kwa kufuata Bonde la Ben-Hinomu sambamba na mteremko wa kusini wa mji mkubwa wa Wayebusi (yaani Yerusalemu). Kutoka hapo ukapanda juu ya kilima magharibi ya Bonde la Hinomu mwisho wa ncha ya kaskazini mwa Bonde la Warefai.
2 Samuel 5:18Basi Wafilisti walikuwa wamekuja na kusambaa kwenye Bonde la Warefai,
2 Samuel 23:13Wakati wa mavuno, viongozi watatu kati ya viongozi thelathini walishuka, wakamwendea Daudi katika pango la Adulamu, wakati kikundi cha Wafilisti kilikuwa kimepiga kambi katika Bonde la Warefai.
1 Chronicles 14:9Basi Wafilisti walikuwa wameingia na kushambulia Bonde la Warefai,
Micah 1:15Nitawaleteeni atakayewashinda 2 ninyi mnaoishi Maresha. 1 Yeye aliye utukufu wa Israeli 2 atakuja Adulamu. 1