1 Nyakati 11:18
Kwa hivyo wale watatu, wakapita katikati ya safu za Wafilisti, wakachota maji kutoka kwa kisima kilicho karibu na lango la Bethlehemu, wakamletea Daudi. Lakini yeye akakataa kuyanywa. Badala yake, aliyamimina mbele za Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
1 Samuel 7:6Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za Bwana. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya Bwana.” Naye Samweli alikuwa kiongozi + 7:6 Kiongozi hapa maana yake mwamuzi. wa Israeli huko Mispa.
Song of Solomon 8:6Nitie kama muhuri moyoni mwako, 2 kama muhuri kwenye mkono wako; 1 kwa maana upendo una nguvu kama mauti, 2 wivu wake ni mkatili kama kuzimu. 1 Unachoma kama mwali wa moto, 2 kama mwali mkubwa wa moto wa Bwana hasa. 1
Acts 21:13Lakini Paulo akajibu, “Kwa nini mnalia na kunivunja moyo? Mimi niko tayari si kufungwa tu, bali hata kufa huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu.”