Acts 21:13
Lakini Paulo akajibu, “Kwa nini mnalia na kunivunja moyo? Mimi niko tayari si kufungwa tu, bali hata kufa huko Yerusalemu kwa ajili ya jina la Bwana Yesu.”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Tuliposikia maneno haya sisi na ndugu wengine tukamsihi Paulo asiende Yerusalemu.
14Alipokuwa hashawishiki, tukaacha kumsihi, tukasema, “Mapenzi ya Bwana na yatendeke.”
Cross References
1 Samuel 15:14Lakini Samweli akasema, “Nini basi huu mlio wa kondoo masikioni mwangu? Huu mlio wa ngʼombe ninaousikia ni kitu gani?”
Isaiah 3:15Mnamaanisha nini kuwaponda watu wangu 2 na kuzisaga nyuso za maskini?” 4 asema Bwana, Bwana Mwenye Nguvu Zote. 1
Jonah 1:6Nahodha akamwendea na kusema, “Wewe unawezaje kulala? Amka ukamwite mungu wako! Huenda akatuangalia, tusiangamie.”
Acts 9:16Nami nitamwonyesha jinsi impasavyo kuteseka kwa ajili ya Jina langu.”
Acts 20:37Wote wakalia, wakamkumbatia Paulo na kumbusu,
1 Corinthians 15:31Kama majivuno yangu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu Bwana wetu ni kweli, ndugu zangu, ninakufa kila siku.