1 Nyakati 12:24
watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
25Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. 1
Cross References
2 Samuel 5:1Makabila yote ya Israeli yakamjia Daudi huko Hebroni na kumwambia, “Sisi tu nyama yako na damu yako hasa.
1 Chronicles 11:10Hawa ndio waliokuwa wakuu wa mashujaa wa Daudi: wao pamoja na Israeli wote wakauimarisha ufalme wake ili kuenea katika nchi yote, kama Bwana alivyoahidi.