1 Nyakati 12:25
Watu wa Simeoni, mashujaa waliokuwa tayari kwa vita walikuwa 7,100. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the children of Simeon, mighty men of valour for the war, seven thousand and one hundred.
In Context
24watu wa Yuda, wanaochukua ngao na mikuki walikuwa 6,800 wote wakiwa tayari kwa vita. 1
26Watu wa Lawi walikuwa 4,600,
Cross References
Genesis 35:23Wana wa Lea walikuwa: 2 Reubeni mzaliwa wa kwanza wa Yakobo, 2 Simeoni, Lawi, Yuda, Isakari na Zabuloni. 1
1 Chronicles 9:16Obadia mwana wa Shemaya, mwana wa Galali, mwana wa Yeduthuni. Berekia mwana wa Asa, mwana wa Elikana, ambao waliishi katika vijiji vya Wanetofathi. 2 Jamaa Za Mabawabu 1