1 Chronicles 13:14
Sanduku la Mungu likabaki pamoja na jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani kwake kwa miezi mitatu, naye Bwana akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 39:5Kuanzia wakati huo Potifa alipomweka Yosefu kuwa msimamizi wa nyumba na mali zake zote alizokuwa nazo, Bwana aliibariki nyumba ya Mmisri huyo kwa sababu ya Yosefu. Baraka ya Bwana ilikuwa juu ya kila kitu alichokuwa nacho Potifa, nyumbani na shambani.
1 Chronicles 26:5Amieli wa sita, 2 Isakari wa saba, 2 na Peulethai wa nane. 2 (Kwa kuwa Mungu alikuwa amembariki Obed-Edomu.) 1
Proverbs 10:22Baraka ya Bwana hutajirisha, 2 wala haichanganyi huzuni. 1