1 Nyakati 26:5
Amieli wa sita, 2 Isakari wa saba, 2 na Peulethai wa nane. 2 (Kwa kuwa Mungu alikuwa amembariki Obed-Edomu.) 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Ammiel the sixth, Issachar the seventh, Peulthai the eighth: for God blessed him.
In Context
Cross References
1 Chronicles 13:14Sanduku la Mungu likabaki pamoja na jamaa ya Obed-Edomu, nyumbani kwake kwa miezi mitatu, naye Bwana akaibariki nyumba yake pamoja na kila kitu alichokuwa nacho.