1 Nyakati 15:23
Berekia na Elikana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Berechiah and Elkanah were doorkeepers for the ark.
In Context
Cross References
2 Kings 22:4“Panda uende kwa Hilkia, kuhani mkuu, umwambie ahesabu zile fedha ambazo zimeletwa katika Hekalu la Bwana, ambazo mabawabu wamekusanya kutoka kwa watu.
1 Chronicles 9:21Zekaria mwana wa Meshelemia alikuwa bawabu katika ingilio la Hema la Kukutania.