The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 15 › 1 Nyakati 15:24

1 Nyakati 15:24

Shebania, Yoshafati, Nethaneli, Amasai, Zekaria, Benaya na Eliezeri, makuhani, walikuwa wapiga tarumbeta mbele ya Sanduku la Mungu. Obed-Edomu na Yehiya waliwekwa pia kuwa mabawabu wa Sanduku.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And Shebaniah, and Jehoshaphat, and Nethaneel, and Amasai, and Zechariah, and Benaiah, and Eliezer, the priests, did blow with the trumpets before the ark of God: and Obed-edom and Jehiah were doorkeepers for the ark.

In Context

23Berekia na Elikana walikuwa mabawabu kwa ajili ya Sanduku.

25Basi Daudi pamoja na wazee wa Israeli na majemadari wa vikosi vya elfu wakaenda ili kulipandisha Sanduku la Agano la Bwana kutoka nyumba ya Obed-Edomu kwa shangwe.

Read all of 1 Nyakati 15

Cross References

Numbers 10:8“Wana wa Aroni, makuhani, ndio watakaopiga hizo tarumbeta. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa ajili yenu na kwa vizazi vijavyo.

1 Chronicles 15:18hawa ndio waliochaguliwa kuwa wasaidizi wao: Zekaria, Yaazieli, Shemiramothi, Yehieli, Uni, Eliabu, Benaya, Maaseya, Matithia, Elifelehu, Mikneya, pamoja na mabawabu Obed-Edomu na Yehieli.

1 Chronicles 15:28Hivyo Israeli wote wakalipandisha Sanduku la Agano la Bwana kwa shangwe, wakipiga pembe za kondoo dume, tarumbeta, matoazi, wakipiga zeze na vinubi.

1 Chronicles 26:4Obed-Edomu naye alikuwa na wana wafuatao: 2 Shemaya mzaliwa wa kwanza, 2 Yehozabadi wa pili, 2 Yoa wa tatu, 2 Sakari wa nne, 2 Nethaneli wa tano, 2

Psalms 81:13“Laiti kama watu wangu wangalinisikiliza, 2 kama Israeli wangalifuata njia zangu, 1

Joel 2:15Pigeni tarumbeta katika Sayuni, 2 tangazeni saumu takatifu, 2 liiteni kusanyiko takatifu. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 15:24

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 15:231 Nyakati 151 Nyakati 15:25 →