1 Nyakati 15:7
Kutoka wazao wa Gershoni, + 15:7 Namna nyingine ya kutaja Gershomu. 2 Yoeli kiongozi na ndugu zake 130. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Of the sons of Gershom; Joel the chief, and his brethren an hundred and thirty:
In Context
6Kutoka wazao wa Merari, 2 Asaya kiongozi na ndugu zake 220. 1
8Kutoka wazao wa Elisafani, 2 Shemaya kiongozi na ndugu zake 200. 1
Cross References
1 Chronicles 15:11Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu.