1 Nyakati 15:11
Kisha Daudi akawaita makuhani Sadoki na Abiathari, pamoja na Walawi Urieli, Asaya, Yoeli, Shemaya, Elieli na Aminadabu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Kutoka wazao wa Uzieli, 2 Aminadabu kiongozi na ndugu zake 112.
Cross References
1 Samuel 22:20Lakini Abiathari, mwana wa Ahimeleki, mwana wa Ahitubu, akatoroka, akakimbia na kujiunga na Daudi.
2 Samuel 15:24Sadoki pia alikuwako, kadhalika Walawi wote waliokuwa pamoja naye walikuwa wamechukua Sanduku la Agano la Mungu. Wakaweka chini Sanduku la Mungu, naye Abiathari akatoa dhabihu mpaka watu wote walipokuwa wameondoka mjini.
2 Samuel 20:25Sheva + 20:25 Sheva mahali pengine ameitwa Shausha ( 1Nya 18:16; 1Fal 4:3 ). alikuwa mwandishi; Sadoki na Abiathari walikuwa makuhani;
1 Kings 2:35Mfalme akamweka Benaya mwana wa Yehoyada juu ya jeshi kwenye nafasi ya Yoabu na kumweka kuhani Sadoki badala ya Abiathari.
1 Chronicles 18:16Sadoki mwana wa Ahitubu na Ahimeleki mwana wa Abiathari walikuwa makuhani; Shausha alikuwa mwandishi;