1 Nyakati 16:15
Hulikumbuka agano lake milele, 2 neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Be ye mindful always of his covenant; the word which he commanded to a thousand generations;
In Context
14Yeye ndiye Bwana Mungu wetu; 2 hukumu zake zimo duniani pote. 1
16agano alilolifanya na Abrahamu, 2 kiapo alichomwapia Isaki. 1
Cross References
Deuteronomy 7:9Basi ujue kwamba Bwana Mungu wako ndiye Mungu; ni Mungu mwaminifu, anayetunza Agano la upendo kwa maelfu ya vizazi vya wale wanaompenda na kuzishika amri zake.
Psalms 44:17Hayo yote yametutokea, 2 ingawa tulikuwa hatujakusahau 2 wala hatujaenda kinyume na agano lako. 1
Malachi 4:4“Kumbukeni sheria ya mtumishi wangu Mose, amri na sheria nilizompa huko Horebu kwa ajili ya Israeli wote.