1 Nyakati 16:14
Yeye ndiye Bwana Mungu wetu; 2 hukumu zake zimo duniani pote. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
He is the LORD our God; his judgments are in all the earth.
In Context
13enyi wazao wa Israeli mtumishi wake, 2 enyi wana wa Yakobo, wateule wake. 1
15Hulikumbuka agano lake milele, 2 neno ambalo aliamuru, kwa vizazi elfu, 1
Cross References
Genesis 17:7Nitalithibitisha Agano langu kama Agano la milele kati yangu na wewe na wazao wako baada yako na vizazi vijavyo niwe Mungu wako na Mungu wa wazao wako.
1 Chronicles 16:12Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, 2 miujiza yake na hukumu alizozitamka, 1
Psalms 63:1Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu, 2 nakutafuta kwa moyo wote; 1 nafsi yangu inakuonea kiu, 2 mwili wangu unakuonea wewe shauku, 1 katika nchi kame na iliyochoka 2 mahali ambapo hapana maji. 1
Psalms 97:8Sayuni husikia na kushangilia, 2 vijiji vya Yuda vinafurahi 2 kwa sababu ya hukumu zako, Ee Bwana. 1
Psalms 118:28Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru, 2 wewe ni Mungu wangu, nitakutukuza. 1