The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:33

1 Nyakati 16:33

Kisha miti ya msituni itaimba, 2 itaimba kwa furaha mbele za Bwana, 2 kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then shall the trees of the wood sing out at the presence of the LORD, because he cometh to judge the earth.

In Context

32Bahari na ivume, na vyote vilivyomo ndani yake; 2 mashamba na yashangilie, na vyote vilivyomo ndani yake. 1

34Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele. 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

Psalms 9:9Bwana ni kimbilio la watu wanaoonewa, 2 ni ngome imara wakati wa shida. 1

Psalms 98:9vyote na viimbe mbele za Bwana, 2 kwa maana yuaja kuhukumu dunia. 1 Atahukumu dunia kwa haki 2 na mataifa kwa haki.

Ezekiel 17:22“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Mimi mwenyewe nitachukua chipukizi kutoka kwenye kilele cha juu sana cha mwerezi na kukipanda, nitavunja kitawi kichanga kutoka matawi yake ya juu kabisa na kukipanda juu ya mlima mrefu ulioinuka sana.

2 Thessalonians 1:10siku hiyo atakapokuja kutukuzwa katika watakatifu wake na kustaajabiwa miongoni mwa wote walioamini. Ninyi pia mtakuwa miongoni mwa hawa kwa sababu mliamini ushuhuda wetu kwenu.

Revelation 11:17wakisema: 1 “Tunakushukuru, Bwana Mungu Mwenyezi, 2 uliyeko na uliyekuwako, 1 kwa kuwa umetwaa uweza wako mkuu 2 na ukaanza kutawala. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:321 Nyakati 161 Nyakati 16:34 →