The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:34

1 Nyakati 16:34

Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

O give thanks unto the LORD; for he is good; for his mercy endureth for ever.

In Context

33Kisha miti ya msituni itaimba, 2 itaimba kwa furaha mbele za Bwana, 2 kwa maana anakuja kuihukumu dunia. 1

35Mlilieni, “Ee Mungu Mwokozi wetu, tuokoe. 2 Tukusanye tena na utukomboe kutoka kwa mataifa, 1 ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu, 2 na kushangilia katika sifa zako.” 1

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

2 Chronicles 5:13Wapiga tarumbeta na waimbaji wakaungana katika sauti linganifu, ikawa kama vile ni sauti moja, wakimsifu na kumshukuru Bwana, nao alipoinua sauti zao pamoja na tarumbeta na matoazi na vyombo vingine vya uimbaji, wakamsifu Bwana wakisema: 1 “Yeye ni mwema; 2 upendo wake unadumu milele.” Ndipo Hekalu la Bwana likajazwa na wingu,

Ezra 3:11Waliimba nyimbo za sifa na za shukrani kwa Bwana hivi: 1 “Yeye ni mwema; 2 upendo wake kwa Israeli 2 wadumu milele.” Watu wote wakapaza sauti kubwa za sifa kwa Bwana, kwa sababu msingi wa nyumba ya Bwana ulikuwa umewekwa.

Psalms 107:1Mshukuruni Bwana, kwa kuwa yeye ni mwema, 2 upendo wake wadumu milele. 1

Psalms 136:1Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema. Fadhili zake zadumu milele. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:34

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:331 Nyakati 161 Nyakati 16:35 →