The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 16 › 1 Nyakati 16:36

1 Nyakati 16:36

Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. Nao watu wote wakasema, “Amen,” na “Msifuni Bwana.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Blessed be the LORD God of Israel for ever and ever. And all the people said, Amen, and praised the LORD.

In Context

35Mlilieni, “Ee Mungu Mwokozi wetu, tuokoe. 2 Tukusanye tena na utukomboe kutoka kwa mataifa, 1 ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu, 2 na kushangilia katika sifa zako.” 1

37Daudi akamwacha Asafu na wenzake mbele ya Sanduku la Agano la Bwana ili wahudumu humo mara kwa mara, kulingana na mahitaji ya kila siku.

Read all of 1 Nyakati 16

Cross References

Deuteronomy 27:15“Alaaniwe mtu afanyaye sanamu ya kuchonga au mwenye kusubu sanamu, kitu ambacho ni chukizo kwa Bwana, kazi ya mikono ya fundi stadi, na kuisimamisha kwa siri.” Kisha watu wote watasema, “Amen!”

1 Kings 8:56“Ahimidiwe Bwana, aliyewapa pumziko watu wake Israeli kama vile alivyokuwa ameahidi. Hakuna hata neno moja lililopunguka kati ya ahadi zote nzuri alizozitoa kupitia mtumishi wake Mose.

Nehemiah 9:5Nao Walawi Yeshua, Kadmieli, Bani, Hashabnea, Sherebia, Hodia, Shebania na Pethahia wakasema: “Simameni mkamsifu Bwana Mungu wenu, yeye ambaye ni Mungu tangu milele hata milele. “Libarikiwe jina lake tukufu, litukuzwe juu ya baraka zote na sifa.

Psalms 106:48Atukuzwe Bwana, Mungu wa Israeli, 2 tangu milele na hata milele. 1 Watu wote na waseme, “Amen!” 1 Msifuni Bwana.

1 Corinthians 14:16Ikiwa unabariki kwa roho, mtu mwingine atakayejikuta miongoni mwa hao wasiojua, atawezaje kusema “Amen” katika kushukuru kwako, wakati haelewi unachosema?

1 Peter 1:3Ahimidiwe Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo! Kwa rehema zake kuu ametuzaa sisi mara ya pili katika tumaini lenye uzima kupitia kwa kufufuka kwa Yesu Kristo kutoka kwa wafu,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 16:36

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 16:351 Nyakati 161 Nyakati 16:37 →