1 Nyakati 16:35
Mlilieni, “Ee Mungu Mwokozi wetu, tuokoe. 2 Tukusanye tena na utukomboe kutoka kwa mataifa, 1 ili tuweze kulishukuru jina lako takatifu, 2 na kushangilia katika sifa zako.” 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
34Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema; 2 upendo wake wadumu milele. 1
Cross References
Deuteronomy 30:3ndipo Bwana Mungu wako atakapokurudisha kutoka utumwani na kukuhurumia, naye atakukusanya tena kutoka mataifa yote kule alikutawanya.
Psalms 14:7Laiti wokovu wa Israeli 2 ungalikuja kutoka Sayuni! 1 Wakati Bwana arejeshapo 2 wafungwa wa watu wake, 1 Yakobo na ashangilie, 2 Israeli na afurahi!
Psalms 53:6Laiti wokovu wa Israeli ungalikuja kutoka Sayuni! 2 Wakati Mungu arejeshapo wafungwa wa watu wake, 2 Yakobo na ashangilie, Israeli na afurahi!
Psalms 105:45alifanya haya ili wayashike mausia yake 2 na kuzitii sheria zake. 1 Msifuni Bwana. + 105:45 Msifuni Bwana kwa Kiebrania ni Hallelu Yah.
Isaiah 43:21watu wale niliowaumba kwa ajili yangu, 2 ili wapate kutangaza sifa zangu. 1
1 Corinthians 1:31Hivyo, kama ilivyoandikwa: “Yeye ajisifuye na ajisifu katika Bwana.”