1 Nyakati 17:23
“Sasa basi, Bwana ahadi uliyoweka kuhusu mtumishi wako na nyumba yake na uithibitishe milele. Fanya kama ulivyoahidi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 32:12Lakini umeshasema, ‘Hakika nitakufanya ustawi na kuufanya uzao wako kuwa mwingi kama mchanga wa baharini ambao hauwezi kuhesabika!’ ”
1 Kings 8:26Sasa, Ee Mungu wa Israeli, acha neno lako lile ulilomwahidi mtumishi wako Daudi baba yangu litimie.
Psalms 119:49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako, 2 kwa sababu umenipa tumaini. 1
Luke 1:38Maria akasema, “Tazama, mimi ni mtumishi wa Bwana. Na iwe kwangu kama ulivyosema.” Kisha malaika akaondoka, akamwacha. 1 Maria Aenda Kumtembelea Elizabeti