1 Nyakati 18:14
Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So David reigned over all Israel, and executed judgment and justice among all his people.
In Context
Cross References
1 Chronicles 12:38Wote hawa walikuwa watu wapiganaji waliojitolea kutumika katika safu zao. Walikuja Hebroni wakiwa wameamua kikamilifu kumfanya Daudi mfalme juu ya Israeli yote. Waisraeli wengine wote walikuwa pia na nia hiyo moja ya kumfanya Daudi kuwa mfalme.
Psalms 78:71Kutoka kuchunga kondoo alimleta 2 kuwa mchungaji wa watu wake Yakobo, 2 wa Israeli urithi wake. 1
Isaiah 9:7Kuongezeka kwa utawala wake na amani 2 hakutakuwa na mwisho. 1 Atatawala katika kiti cha enzi cha Daudi 2 na juu ya ufalme wake, 1 akiuthibitisha na kuutegemeza 2 kwa haki na kwa adili, 2 tangu wakati huo na hata milele. 1 Wivu wa Bwana Mwenye Nguvu Zote 2 utatimiza haya. 1 Hasira Ya Bwana Dhidi Ya Israeli 1
Jeremiah 22:15“Je, inakufanya kuwa mfalme 2 huko kuongeza idadi ya mierezi? 1 Je, baba yako hakuwa na chakula na kinywaji? 2 Alifanya yaliyo sawa na haki, 2 hivyo yeye akafanikiwa katika yote. 1
Jeremiah 33:15“ ‘Katika siku hizo na wakati huo 2 nitalifanya Tawi la haki lichipuke kutoka ukoo wa Daudi, 1 naye atafanya lile lililo haki na sawa 2 katika nchi. 1