1 Chronicles 18:13
Akaweka kambi za askari walinzi huko Edomu, nao Waedomu wote wakawa watumishi wa Daudi. Bwana akampa Daudi ushindi kila alipokwenda. 1 Maafisa Wa Daudi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
12Abishai mwana wa Seruya akawaua Waedomu 18,000 katika Bonde la Chumvi.
14Daudi akatawala Israeli yote, akitenda lililo haki na sawa kwa watu wake wote.
Cross References
Genesis 27:29Mataifa na yakutumikie 2 na mataifa yakusujudie. 1 Uwe bwana juu ya ndugu zako, 2 na wana wa mama yako wakusujudie. 1 Walaaniwe wale wakulaanio, 2 nao wale wakubarikio wabarikiwe.”
Genesis 27:40Utaishi kwa upanga, 2 nawe utamtumikia ndugu yako, 1 lakini wakati utakapokuwa umejikomboa, 2 utatupa nira yake 2 kutoka shingoni mwako.” 1 Yakobo Anakimbilia Kwa Labani
1 Samuel 10:5“Baada ya hayo utakwenda Gibea ya Mungu, ambapo hapo kuna kambi ya Wafilisti. Unapokaribia mji utakutana na kundi la manabii wakiteremka kutoka mahali pa juu wakiwa na vinubi, matari, filimbi na zeze vikipigwa mbele yao, nao watakuwa wakitoa unabii.
1 Samuel 14:1Siku moja Yonathani mwana wa Sauli akamwambia kijana mbeba silaha wake, akasema, “Njoo, tuwavukie Wafilisti kwenye doria upande ule mwingine.” Lakini hakumwambia baba yake.
2 Samuel 7:14Nitakuwa baba yake, naye atakuwa mwanangu. Atakapokosea nitamwadhibu kwa fimbo ya wanadamu, kwa adhabu ya kupigwa na wanadamu.
1 Chronicles 18:6Daudi akaweka askari walinzi katika ufalme wa Waaramu huko Dameski. Basi Waaramu wakawa watumwa wa Daudi, na kumlipa ushuru. Bwana akampa Daudi ushindi kote alipokwenda.