1 Chronicles 18:2
Pia Daudi akawashinda Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he smote Moab; and the Moabites became David’s servants, and brought gifts.
In Context
Cross References
Numbers 24:17“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1
1 Samuel 10:27Lakini baadhi ya watu wakorofi walisema, “Huyu mtu atawezaje kutuokoa?” Wakamdharau na wala hawakumletea zawadi. Lakini Sauli akanyamaza kimya.
1 Kings 10:2Alifika Yerusalemu akiwa na msafara mkubwa sana: pamoja na ngamia waliobeba vikolezi, kiasi kikubwa cha dhahabu na vito vya thamani; alikuja kwa Solomoni na kuzungumza naye kuhusu yote ambayo alikuwa nayo moyoni mwake.
2 Kings 3:4Basi Mesha mfalme wa Moabu akafuga kondoo, naye akawa ampatie mfalme wa Israeli wana-kondoo 100,000 pamoja na sufu ya kondoo dume 100,000.
Psalms 68:29Kwa sababu ya Hekalu lako Yerusalemu 2 wafalme watakuletea zawadi. 1
Isaiah 11:14Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti 2 hadi upande wa magharibi, 1 kwa pamoja watawateka watu nyara 2 hadi upande wa mashariki. 1 Watawapiga Edomu na Moabu, 2 na Waamoni watatawaliwa nao. 1