Numbers 24:17
“Namwona yeye, lakini si sasa; 2 namtazama yeye, lakini si karibu. 1 Nyota itatoka kwa Yakobo, 2 fimbo ya ufalme itainuka kutoka kwa Israeli. 1 Atawaponda Wamoabu vipaji vya nyuso 2 na mafuvu yote ya wana wa Shethi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
18Edomu itamilikiwa, 2 Seiri, adui wake, itamilikiwa, 2 lakini Israeli atakuwa na nguvu. 1
Cross References
Genesis 4:25Adamu akakutana kimwili na mke wake tena, akamzaa mwana, akamwita Sethi, akisema, “Mungu amenijalia mwana mwingine badala ya Abeli, kwa kuwa Kaini alimuua.”
Genesis 49:10Fimbo ya ufalme haitaondoka kwa Yuda, 2 wala fimbo ya mtawala kati ya miguu yake, 1 hadi aje yeye ambaye milki ni yake, 2 ambaye utii wa mataifa ni wake. 1
1 Samuel 14:38Kwa hiyo Sauli akasema, “Njooni hapa, ninyi nyote ambao ni viongozi wa jeshi, na tutafute ni dhambi gani imefanywa leo.
2 Kings 3:5Lakini baada ya Ahabu kufa, mfalme wa Moabu aliasi dhidi ya mfalme wa Israeli.
1 Chronicles 18:2Pia Daudi akawashinda Wamoabu, wakawa watumishi wake, nao wakawa wanamletea ushuru.
Psalms 45:6Ee Mungu, kiti chako cha enzi 2 kitadumu milele na milele, 1 fimbo ya utawala wa haki 2 itakuwa fimbo ya utawala wa ufalme wako. 1