The Bible Software
bible.software › 1 Nyakati › 1 Nyakati 18 › 1 Nyakati 18:6

1 Nyakati 18:6

Daudi akaweka askari walinzi katika ufalme wa Waaramu huko Dameski. Basi Waaramu wakawa watumwa wa Daudi, na kumlipa ushuru. Bwana akampa Daudi ushindi kote alipokwenda.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then David put garrisons in Syria-damascus; and the Syrians became David’s servants, and brought gifts. Thus the LORD preserved David whithersoever he went.

In Context

5Waaramu wa Dameski, walipokuja kumsaidia Hadadezeri mfalme wa Soba, Daudi akawashambulia na kuwaua 22,000 miongoni mwao.

7Daudi akazitwaa ngao za dhahabu zilizokuwa za maafisa wa Hadadezeri na kuzileta Yerusalemu.

Read all of 1 Nyakati 18

Cross References

1 Chronicles 17:8Nimekuwa pamoja nawe popote ulipokwenda, nami nimekuondolea mbali adui zako wote mbele yako. Basi nitalifanya jina lako kuwa kuu kama majina ya watu walio wakuu sana duniani.

Psalms 18:43Umeniokoa kutokana na mashambulizi ya watu; 2 umenifanya kuwa kiongozi wa mataifa, 2 watu ambao sikuwajua wananitumikia. 1

Proverbs 21:31Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, 2 bali ushindi huwa kwa Bwana.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 18:6

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 18:51 Nyakati 181 Nyakati 18:7 →