Proverbs 21:31
Farasi huandaliwa kwa ajili ya siku ya vita, 2 bali ushindi huwa kwa Bwana.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The horse is prepared against the day of battle: but safety is of the LORD.
In Context
30Hakuna hekima, wala akili, wala mpango 2 unaoweza kufaulu dhidi ya Bwana. 1
Cross References
2 Samuel 23:12Lakini Shama akasimama imara katikati ya lile shamba. Akalitetea na kuwaua Wafilisti, naye Bwana akawapa ushindi mkubwa.
Psalms 3:8Kwa maana wokovu watoka kwa Bwana. 1 Baraka yako na iwe juu ya watu wako.
Psalms 20:8Wao wameshushwa chini na kuanguka, 2 bali sisi tunainuka na kusimama imara. 1
Psalms 68:20Mungu wetu ni Mungu aokoaye, 2 Bwana Mwenyezi hutuokoa na kifo. 1
Psalms 147:10Furaha yake haipo katika nguvu za farasi, 2 wala furaha yake kwenye miguu ya mwanadamu. 1
Isaiah 31:1Ole wao wale washukao Misri kwa ajili ya msaada, 2 wale wategemeao farasi, 1 wanaoweka tumaini katika wingi wa magari yao ya vita, 2 na katika nguvu nyingi za wapanda farasi, 1 lakini hawamwangalii yeye Aliye Mtakatifu wa Israeli, 2 wala hawatafuti msaada kwa Bwana. 1