1 Nyakati 19:12
Yoabu akasema, “Kama Waaramu watanizidi nguvu, basi itakupasa wewe unisaidie; lakini kama Waamoni watakuzidi nguvu, basi mimi nitakusaidia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Ecclesiastes 4:9Wawili ni afadhali kuliko mmoja, 2 kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao: 1
Philippians 1:27Lakini lolote litakalotukia, mwenende kama ipasavyo Injili ya Kristo, ili kwamba nikija na kuwaona au ikiwa sipo, nipate kusikia haya juu yenu: Kuwa mnasimama imara katika roho moja, mkiishindania imani ya Injili kwa umoja,