Mhubiri 4:9
Wawili ni afadhali kuliko mmoja, 2 kwa sababu wana malipo mazuri kwa kazi yao: 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Two are better than one; because they have a good reward for their labour.
In Context
Cross References
Exodus 4:14Ndipo hasira ya Bwana ikawaka dhidi ya Mose, akamwambia, “Vipi kuhusu ndugu yako, Aroni Mlawi? Ninajua yeye anaweza kuzungumza vizuri. Naye yuko tayari njiani kukulaki, na moyo wake utafurahi wakati atakapokuona.
Ruth 2:12Bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake.”
Proverbs 27:17Kama vile chuma kinoavyo chuma, 2 ndivyo mtu amnoavyo mwenzake. 1
Mark 6:7Akawaita wale kumi na wawili, akawatuma wawili wawili, na kuwapa mamlaka kutoa pepo wachafu.
Acts 13:2Walipokuwa wakimwabudu Bwana na kufunga, Roho Mtakatifu akasema, “Nitengeeni Sauli na Barnaba kwa kazi ile maalum niliyowaitia.”
1 Corinthians 12:18Lakini kama ilivyo, Mungu ameweka viungo katika mwili, kila kimoja kama alivyopenda.