1 Chronicles 2:11
Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Nahshon begat Salma, and Salma begat Boaz,
In Context
10Ramu alimzaa 2 Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.
12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese. 1
Cross References
Ruth 2:5Boazi akamuuliza msimamizi wa wavunaji, “Je, yule mwanamwali ni wa nani?”
Matthew 1:4Aramu akamzaa Aminadabu, 2 Aminadabu akamzaa Nashoni, 2 Nashoni akamzaa Salmoni, 2