Matthew 1:4
Aramu akamzaa Aminadabu, 2 Aminadabu akamzaa Nashoni, 2 Nashoni akamzaa Salmoni, 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Aram begat Aminadab; and Aminadab begat Naasson; and Naasson begat Salmon;
In Context
Cross References
Numbers 1:7kutoka Yuda, ni Nashoni mwana wa Aminadabu; 1
Numbers 7:12Yule ambaye alileta sadaka yake siku ya kwanza alikuwa Nashoni, mwana wa Aminadabu, wa kabila la Yuda.
Numbers 10:14Vikosi vya kambi ya Yuda vilitangulia kwanza chini ya alama yao. Nashoni mwana wa Aminadabu alikuwa kiongozi wao.
1 Chronicles 2:10Ramu alimzaa 2 Aminadabu, na Aminadabu akamzaa Nashoni, kiongozi wa kabila la Yuda.