1 Nyakati 2:19
Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when Azubah was dead, Caleb took unto him Ephrath, which bare him Hur.
In Context
20Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli. 1
Cross References
1 Chronicles 2:24Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa. 2 Yerameeli Mwana Wa Hesroni 1
1 Chronicles 4:4Penueli akamzaa Gedori, naye Ezeri akamzaa Husha. 1 Hawa walikuwa wazao wa Huri, mzaliwa wa kwanza wa Efrathi, na baba yake Bethlehemu. 1