1 Chronicles 2:18
Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
19Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.
Cross References
1 Chronicles 2:9Wana wa Hesroni walikuwa: 2 Yerameeli, Ramu na Kalebu. 2 Kuanzia Ramu Mwana Wa Hesroni 1
1 Chronicles 2:42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa: 2 Mesha mzaliwa wake wa kwanza alimzaa Zifu, naye mwanawe Maresha akamzaa Hebroni. 1
1 Chronicles 4:1Wana wa Yuda walikuwa: 2 Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 1