1 Chronicles 2:21
Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli. 1
22Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.
Cross References
Numbers 26:29Wazao wa Manase: 1 kutoka kwa Makiri, ukoo wa Wamakiri (Makiri alikuwa baba wa Gileadi); 1 kutoka kwa Gileadi, ukoo wa Wagileadi. 1
Numbers 32:39Wazao wa Makiri mwana wa Manase walikwenda Gileadi, wakaiteka nchi na kuwafukuza Waamori waliokuwa huko.
Deuteronomy 3:15Nikampa Makiri nchi ya Gileadi.