1 Chronicles 2:22
Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Segub begat Jair, who had three and twenty cities in the land of Gilead.
In Context
Cross References
Numbers 32:40Kwa hiyo Mose akawapa Wamakiri, wazao wa Manase, nchi ya Gileadi, nao wakakaa huko.
Deuteronomy 3:14Yairi, mzao wa kabila la Manase, alichukua eneo lote la nchi ya Argobu hadi kufikia mpaka wa Wageshuri na Wamaaka, ukaitwa kwa jina lake; kwa hiyo mpaka leo hii Bashani inaitwa Hawoth-Yairi.)
Joshua 13:30Eneo lililoenea kuanzia Mahanaimu, na kujumlisha Bashani yote, ufalme wote wa Ogu mfalme wa Bashani, makazi yote ya Yairi huko Bashani, miji sitini,