1 Chronicles 2:29
Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the name of the wife of Abishur was Abihail, and she bare him Ahban, and Molid.
In Context
28Wana wa Onamu walikuwa: 2 Shamai na Yada. 1 Wana wa Shamai walikuwa: 2 Nadabu na Abishuri. 1
30Wana wa Nadabu walikuwa 2 Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto. 1