1 Chronicles 2:30
Wana wa Nadabu walikuwa 2 Seledi na Apaimu, lakini Seledi alikufa bila kuzaa watoto. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the sons of Nadab; Seled, and Appaim: but Seled died without children.
In Context
29Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi. 1
31Apaimu akamzaa: 2 Ishi ambaye alikuwa baba wa Sheshani. 2 Sheshani akamzaa Alai. 1