1 Chronicles 2:35
Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Sheshan gave his daughter to Jarha his servant to wife; and she bare him Attai.
In Context
34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. 2 Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.
36Atai akamzaa Nathani, 2 Nathani akamzaa Zabadi, 2