1 Chronicles 2:34
Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu. 2 Alikuwa na mtumishi Mmisri aliyeitwa Yarha.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Wana wa Yonathani walikuwa: 2 Pelethi na Zaza. 1 Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yerameeli. 1
35Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai. 1