1 Chronicles 2:44
Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And Shema begat Raham, the father of Jorkoam: and Rekem begat Shammai.
In Context
43Hebroni alikuwa na wana wanne: 2 Kora, Tapua, Rekemu na Shema.
45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 1