1 Chronicles 2:45
Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the son of Shammai was Maon: and Maon was the father of Beth-zur.
In Context
44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.
46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi. 1
Cross References
Joshua 15:55Maoni, Karmeli, Zifu, Yuta,