1 Chronicles 2:53
pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: 2 Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi,
54Wazao wa Salma walikuwa: 2 Bethlehemu, Wanetofathi, Atroth-Beth-Yoabu, nusu ya Wamanahathi, Wasori,
Cross References
Joshua 15:33Kwenye shefela ya magharibi: 1 Eshtaoli, Sora, Ashna,
Judges 13:2Basi palikuwa na mtu mmoja wa Sora, aliyeitwa Manoa, wa kabila la Wadani, naye alikuwa na mke ambaye alikuwa tasa na hakuwa na mtoto.
Judges 16:31Basi ndugu zake na jamaa yote ya baba yake wakateremka kwenda kumchukua. Wakampandisha na kumzika kati ya Sora na Eshtaoli kwenye kaburi la Manoa baba yake. Naye Samsoni alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka ishirini.
1 Chronicles 4:2Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi. 1