1 Chronicles 4:2
Reaya mwana wa Shobali akamzaa Yahathi, Yahathi akawazaa Ahumai na Lahadi. Hizi ndizo zilizokuwa koo za Wasorathi. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
1Wana wa Yuda walikuwa: 2 Peresi, Hesroni, Karmi, Huri na Shobali. 1
3Hawa ndio waliokuwa wana wa Etamu: 2 Yezreeli, Ishma na Idbashi. Dada yao aliitwa Haselelponi.
Cross References
Joshua 15:33Kwenye shefela ya magharibi: 1 Eshtaoli, Sora, Ashna,
1 Chronicles 2:52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa: 2 Haroe, nusu ya wakazi wa mji wa Menuhothi,