bible.software › 1 Chronicles › 1 Chronicles 21 › 1 Chronicles 21:11
1 Chronicles 21:11
Kwa hiyo Gadi akamwendea Daudi akamwambia, “Hili ndilo Bwana asemalo: ‘Chagua:
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So Gad came to David, and said unto him, Thus saith the LORD, Choose thee
In Context
10“Nenda ukamwambie Daudi, hivi ndivyo asemavyo Bwana: ‘Ninakupa wewe uchaguzi wa mambo matatu. Nichagulie mojawapo nitakalotenda dhidi yako.’ ”
12miaka mitatu ya njaa, au miezi mitatu ya kushindwa na adui zako, ukipatwa na upanga wao, au siku tatu za upanga wa Bwana, yaani, siku tatu za tauni katika nchi na malaika wa Bwana akiangamiza kila mahali katika Israeli.’ Sasa basi, amua jinsi nitakavyomjibu yeye aliyenituma.”
Read all of 1 Chronicles 21
Cross References
Proverbs 19:20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1
This Verse In Other Editions
Study 1 Chronicles 21:11