Proverbs 19:20
Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, 2 nawe mwishoni utakuwa na hekima. 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Hear counsel, and receive instruction, that thou mayest be wise in thy latter end.
In Context
21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, 2 lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 1
Cross References
Numbers 23:10Ni nani awezaye kuhesabu mavumbi ya Yakobo, 2 au kuhesabu robo ya Israeli? 1 Mimi na nife kifo cha mtu mwenye haki, 2 na mwisho wangu na uwe kama wao!”
Deuteronomy 32:29Laiti wangekuwa na hekima wangefahamu hili, 2 na kutambua mwisho wao utakuwa aje! 1
Psalms 90:12Tufundishe kuzihesabu siku zetu vizuri, 2 ili tujipatie moyo wa hekima. 1
Proverbs 1:2Kwa kupata hekima na nidhamu; 2 kwa kufahamu maneno ya busara; 1
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 8:34Heri mtu yule anisikilizaye mimi, 2 akisubiri siku zote malangoni mwangu, 2 akingoja kwenye vizingiti vya mlango wangu. 1