1 Chronicles 21:27
Kisha Bwana akanena na yule malaika, naye akarudisha upanga wake katika ala yake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the LORD commanded the angel; and he put up his sword again into the sheath thereof.
In Context
Cross References
1 Chronicles 21:12miaka mitatu ya njaa, au miezi mitatu ya kushindwa na adui zako, ukipatwa na upanga wao, au siku tatu za upanga wa Bwana, yaani, siku tatu za tauni katika nchi na malaika wa Bwana akiangamiza kila mahali katika Israeli.’ Sasa basi, amua jinsi nitakavyomjibu yeye aliyenituma.”
1 Chronicles 21:20Arauna alipokuwa akipura ngano, akageuka akamwona yule malaika. Wanawe wanne waliokuwa pamoja naye wakajificha, yeye akaendelea kupura ngano.
Jeremiah 47:6“Mnalia, ‘Aa, upanga wa Bwana, 2 utaendelea mpaka lini ndipo upumzike? 1 Rudi ndani ya ala yako; 2 acha na utulie.’ 1
Matthew 26:52Ndipo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga.
Hebrews 1:14Je, malaika wote si roho watumikao, waliotumwa kuwahudumia wale watakaourithi wokovu?