Matthew 26:52
Ndipo Yesu akamwambia, “Rudisha upanga wako mahali pake, kwa maana wote watumiao upanga watakufa kwa upanga.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Genesis 9:6“Yeyote amwagaye damu ya mwanadamu, 2 damu yake itamwagwa na mwanadamu, 1 kwa kuwa katika mfano wa Mungu, 2 Mungu alimuumba mwanadamu.
Ezekiel 35:5“ ‘Kwa sababu ulificha moyoni uadui wa siku nyingi nawe ukawatoa Waisraeli wauawe kwa upanga wakati wa maafa yao, wakati adhabu yake ilipofikia kilele chake,
Matthew 23:34Kwa sababu hii, tazameni, natuma kwenu manabii na wenye hekima na walimu. Baadhi yao mtawaua na kuwasulubisha, na wengine wao mtawapiga mijeledi katika masinagogi yenu na kuwafuatia kutoka mji mmoja hadi mji mwingine.
1 Corinthians 4:11Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao.
1 Peter 2:21Ninyi mliitwa kwa ajili ya haya, kwa sababu Kristo naye aliteswa kwa ajili yenu, akiwaachia kielelezo, ili mzifuate nyayo zake. 1
Revelation 13:10Ikiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka, 2 atachukuliwa mateka. 1 Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga, 2 atauawa kwa upanga. Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu. 1 Mnyama Kutoka Dunia