1 Chronicles 23:2
Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he gathered together all the princes of Israel, with the priests and the Levites.
In Context
1Daudi alipokuwa mzee aliyeshiba siku, akamfanya Solomoni mwanawe kuwa mfalme juu ya Israeli.
Cross References
Joshua 23:2akawaita Israeli wote, wazee wao, viongozi, waamuzi na maafisa Yoshua akawaambia: “Mimi ni mzee na umri wangu umeendelea sana.
1 Chronicles 6:33Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: 1 Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: 2 Hemani, mpiga kinanda, 2 alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli, 2
1 Chronicles 28:1Daudi akawaita maafisa wote wa Israeli wakusanyike huko Yerusalemu: yaani, maafisa walio juu ya makabila, majemadari wa vikosi katika utumishi wa mfalme, majemadari wa maelfu na majemadari wa mamia, maafisa wanaosimamia mali zote na mifugo ya mfalme na wanawe, wakiwemo maafisa wa jumba la kifalme, mashujaa na askari wote walio hodari.