The Bible Software
bible.software1 Nyakati1 Nyakati 6 › 1 Nyakati 6:33

1 Nyakati 6:33

Wafuatao ni watu waliohudumu pamoja na wana wao: 1 Kutoka ukoo wa Kohathi walikuwa: 2 Hemani, mpiga kinanda, 2 alikuwa mwana wa Yoeli, mwana wa Samweli, 2

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And these are they that waited with their children. Of the sons of the Kohathites: Heman a singer, the son of Joel, the son of Shemuel,

In Context

32Walihudumu kwa kuimba mbele ya Maskani, Hema la Kukutania, mpaka hapo Mfalme Solomoni alipojenga Hekalu la Bwana huko Yerusalemu. Walitimiza wajibu wao kulingana na taratibu walizokuwa wamewekewa.

34mwana wa Elikana, mwana wa Yerohamu, 2 mwana wa Elieli, mwana wa Toa, 2

Read all of 1 Nyakati 6

Cross References

Numbers 3:6“Walete watu wa kabila la Lawi mbele ya Aroni kuhani ili wamsaidie.

1 Samuel 1:20Hivyo wakati ulipotimia, Hana akapata mimba na akamzaa mwana. Hana akamwita jina lake Samweli, akasema, “Kwa kuwa nilimwomba kwa Bwana.” 1 Hana Anamweka Samweli Wakfu

1 Chronicles 6:28Wana wa Samweli walikuwa: 2 Yoeli mzaliwa wake wa kwanza, 2 na Abiya mwanawe wa pili. 1

1 Chronicles 15:19Waimbaji Hemani, Asafu na Ethani walichaguliwa kupiga matoazi ya shaba;

1 Chronicles 23:2Pia akawakusanya pamoja viongozi wote wa Israeli, pamoja na makuhani na Walawi.

1 Chronicles 25:1Daudi, pamoja na majemadari wa jeshi, wakawatenga baadhi ya wana wa Asafu, wana wa Hemani na wana wa Yeduthuni, kwa ajili ya huduma ya kutoa unabii, wakitumia vinubi, zeze na matoazi. Hii ndiyo orodha ya watu waliofanya huduma hii: 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)Biblia Cornilescu (Română)

Study 1 Nyakati 6:33

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeJohn WesleyJohn CalvinKeil and DelitzschScofieldFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← 1 Nyakati 6:321 Nyakati 61 Nyakati 6:34 →