1 Chronicles 23:21
Wana wa Merari walikuwa: 2 Mahli na Mushi. 1 Wana wa Mahli walikuwa: 2 Eleazari na Kishi. 2
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
The sons of Merari; Mahli, and Mushi. The sons of Mahli; Eleazar, and Kish.
In Context
20Wana wa Uzieli walikuwa: 2 Mika wa kwanza na Ishia wa pili. 1 Wamerari 1
22Eleazari akafa bila ya kuwa na wana: alikuwa na binti tu. Binamu zao, wana wa Kishi, wakawaoa. 1
Cross References
Exodus 6:19Wana wa Merari walikuwa Mahli na Mushi. 1 Hizi ndizo zilizokuwa koo za Lawi kufuatana na orodha zao. 1
1 Chronicles 6:4Eleazari akamzaa Finehasi, 2 Finehasi akamzaa Abishua, 2
1 Chronicles 6:30Uza akamzaa Shimea, Shimea akamzaa Hagia, 2 Hagia akamzaa Asaya. 2 Waimbaji Wa Hekalu
1 Chronicles 24:26Wana wa Merari: walikuwa Mahli na Mushi. 2 Mwana wa Yaazia: alikuwa Beno. 1